1 Kor. 4:15 SUV

15 Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 4

Mtazamo 1 Kor. 4:15 katika mazingira