1 Kor. 5:11 SUV

11 Lakini, mambo yalivyo, naliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang’anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 5

Mtazamo 1 Kor. 5:11 katika mazingira