1 Kor. 5:7 SUV

7 Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;

Kusoma sura kamili 1 Kor. 5

Mtazamo 1 Kor. 5:7 katika mazingira