1 Kor. 6:1 SUV

1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?

Kusoma sura kamili 1 Kor. 6

Mtazamo 1 Kor. 6:1 katika mazingira