1 Kor. 6:13 SUV

13 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 6

Mtazamo 1 Kor. 6:13 katika mazingira