1 Kor. 6:16 SUV

16 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 6

Mtazamo 1 Kor. 6:16 katika mazingira