1 Kor. 6:18 SUV

18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 6

Mtazamo 1 Kor. 6:18 katika mazingira