1 Kor. 7:15 SUV

15 Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:15 katika mazingira