1 Kor. 7:18 SUV

18 Je! Mtu fulani ameitwa hali amekwisha kutahiriwa? Asijifanye kana kwamba hakutahiriwa. Mtu fulani ameitwa hali hajatahiriwa bado? Basi asitahiriwe.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:18 katika mazingira