22 Kwa maana yeye aliyeitwa katika Bwana hali ya utumwa, ni huru wa Bwana. Vivyo hivyo yeye naye aliyeitwa hali ya uhuru, ni mtumwa wa Kristo.
Kusoma sura kamili 1 Kor. 7
Mtazamo 1 Kor. 7:22 katika mazingira