1 Kor. 7:25 SUV

25 Kwa habari za wanawali sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kwa rehema za Bwana kuwa mwaminifu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:25 katika mazingira