1 Kor. 8:4 SUV

4 Basi kwa habari ya kuvila vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; twajua ya kuwa sanamu si kitu katika ulimwengu, na ya kuwa hakuna Mungu ila mmoja tu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 8

Mtazamo 1 Kor. 8:4 katika mazingira