1 Kor. 8:7 SUV

7 Bali ujuzi huu haumo ndani ya watu wote; ila wengine kwa kuizoelea ile sanamu hata sasa hula kana kwamba ni kitu kilichotolewa sadaka kwa sanamu; na dhamiri zao, kwa kuwa dhaifu, hunajisika.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 8

Mtazamo 1 Kor. 8:7 katika mazingira