1 Kor. 9:10 SUV

10 Au yamkini anena hayo kwa ajili yetu? Naam, yaliandikwa kwa ajili yetu; kwa kuwa alimaye nafaka ni haki yake kulima kwa matumaini, naye apuraye nafaka ni haki yake kutumaini kupata sehemu yake.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 9

Mtazamo 1 Kor. 9:10 katika mazingira