1 Kor. 9:18 SUV

18 Basi thawabu yangu ni nini? Ni hii, ya kuwa nihubiripo, nitaitoa Injili bila gharama, bila kutumia kwa utimilifu uwezo wangu nilio nao katika Injili.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 9

Mtazamo 1 Kor. 9:18 katika mazingira