1 Kor. 9:20 SUV

20 Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 9

Mtazamo 1 Kor. 9:20 katika mazingira