1 Kor. 9:22 SUV

22 Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 9

Mtazamo 1 Kor. 9:22 katika mazingira