1 Kor. 9:7 SUV

7 Ni askari gani aendaye vitani wakati wo wote kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye mizabibu asiyekula katika matunda yake? Au ni nani achungaye kundi, asiyekunywa katika maziwa ya kundi?

Kusoma sura kamili 1 Kor. 9

Mtazamo 1 Kor. 9:7 katika mazingira