1 Pet. 1:17 SUV

17 Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 1

Mtazamo 1 Pet. 1:17 katika mazingira