1 Pet. 1:18 SUV

18 Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu;

Kusoma sura kamili 1 Pet. 1

Mtazamo 1 Pet. 1:18 katika mazingira