13 Lakini kama mnavyoyashiriki mateso ya Kristo, furahini; ili na katika ufunuo wa utukufu wake mfurahi kwa shangwe.
Kusoma sura kamili 1 Pet. 4
Mtazamo 1 Pet. 4:13 katika mazingira