1 Pet. 4:12 SUV

12 Wapenzi, msione kuwa ni ajabu ule msiba ulio kati yenu, unaowapata kama moto ili kuwajaribu, kana kwamba ni kitu kigeni kiwapatacho.

Kusoma sura kamili 1 Pet. 4

Mtazamo 1 Pet. 4:12 katika mazingira