1 Tim. 1:15 SUV

15 Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 1

Mtazamo 1 Tim. 1:15 katika mazingira