1 Tim. 5:4 SUV

4 Lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu, na wajifunze kwanza kuyatenda yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe, na kuwalipa wazazi wao. Kwa kuwa hili lakubalika mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 5

Mtazamo 1 Tim. 5:4 katika mazingira