1 Tim. 6:16 SUV

16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 6

Mtazamo 1 Tim. 6:16 katika mazingira