1 Tim. 6:17 SUV

17 Walio matajiri wa ulimwengu wa sasa uwaagize wasijivune, wala wasiutumainie utajiri usio yakini, bali wamtumaini Mungu atupaye vitu vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 6

Mtazamo 1 Tim. 6:17 katika mazingira