1 Yoh. 1:1 SUV

1 Lile lililokuwako tangu mwanzo, tulilolisikia, tuliloliona kwa macho yetu, tulilolitazama, na mikono yetu ikalipapasa, kwa habari ya Neno la uzima;

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 1

Mtazamo 1 Yoh. 1:1 katika mazingira