1 Yoh. 1:2 SUV

2 (na uzima huo ulidhihirika, nasi tumeona, tena twashuhudia, na kuwahubiri ninyi ule uzima wa milele, uliokuwa kwa Baba, ukadhihirika kwetu);

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 1

Mtazamo 1 Yoh. 1:2 katika mazingira