1 Yoh. 2:18 SUV

18 Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:18 katika mazingira