1 Yoh. 2:21 SUV

21 Sikuwaandikia ninyi kwa sababu hamwijui iliyo kweli, bali kwa sababu mwaijua, tena kwamba hapana uongo wo wote utokao katika hiyo kweli.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:21 katika mazingira