1 Yoh. 2:22 SUV

22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:22 katika mazingira