1 Yoh. 4:10 SUV

10 Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 4

Mtazamo 1 Yoh. 4:10 katika mazingira