1 Yoh. 4:9 SUV

9 Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 4

Mtazamo 1 Yoh. 4:9 katika mazingira