2 Kor. 1:19 SUV

19 Maana Mwana wa Mungu, Kristo Yesu, aliyehubiriwa katikati yenu na sisi, yaani, mimi na Silwano na Timotheo, hakuwa Ndiyo na siyo; bali katika yeye ni Ndiyo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 1

Mtazamo 2 Kor. 1:19 katika mazingira