2 Kor. 1:20 SUV

20 Maana ahadi zote za Mungu zilizopo katika yeye ni Ndiyo; tena kwa hiyo katika yeye ni Amin; Mungu apate kutukuzwa kwa sisi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 1

Mtazamo 2 Kor. 1:20 katika mazingira