2 Kor. 1:6 SUV

6 Lakini ikiwa sisi tu katika dhiki, ni kwa ajili ya faraja yenu na wokovu wenu; au ikiwa twafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu; ambayo hutenda kazi yake kwa kustahimili mateso yale yale tuteswayo na sisi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 1

Mtazamo 2 Kor. 1:6 katika mazingira