2 Kor. 1:7 SUV

7 Na tumaini letu kwa ajili yenu ni imara, tukijua ya kuwa kama vile mlivyo washiriki wa yale mateso, vivyo hivyo mmekuwa washiriki wa zile faraja.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 1

Mtazamo 2 Kor. 1:7 katika mazingira