2 Kor. 10:12 SUV

12 Kwa kuwa hatuthubutu kujihesabu pamoja na baadhi yao wanaojisifu wenyewe, wala kujilinganisha nao; bali wao wenyewe wakijipima nafsi zao na nafsi zao, na wakijilinganisha nafsi zao na nafsi zao, hawana akili.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 10

Mtazamo 2 Kor. 10:12 katika mazingira