2 Kor. 10:13 SUV

13 Lakini sisi hatutajisifu zaidi ya kadiri yetu; bali kwa kadiri ya kipimo tulichopimiwa na Mungu, yaani, kadiri ya kufika hata kwenu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 10

Mtazamo 2 Kor. 10:13 katika mazingira