2 Kor. 10:14 SUV

14 Maana hatujitanui nafsi zetu kupita kadiri yetu, kana kwamba hatuwafikii ninyi; kwa sababu tulitangulia kufika mpaka kwenu katika injili ya Kristo;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 10

Mtazamo 2 Kor. 10:14 katika mazingira