2 Kor. 10:7 SUV

7 Yaangalieni yaliyo mbele ya macho yenu. Mtu akijitumainia mwenyewe ya kuwa ni mtu wa Kristo, na afikiri hivi pia nafsini mwake, ya kwamba kama yeye alivyo mtu wa Kristo, vivyo hivyo na sisi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 10

Mtazamo 2 Kor. 10:7 katika mazingira