2 Kor. 10:8 SUV

8 Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu, (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwaangusha), sitatahayarika;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 10

Mtazamo 2 Kor. 10:8 katika mazingira