2 Kor. 11:10 SUV

10 Kama vile ile kweli ya Kristo ilivyo ndani yangu, hakuna mtu atakayenifumba kinywa katika kujisifu huku, katika mipaka ya Akaya.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:10 katika mazingira