2 Kor. 11:9 SUV

9 Nami nilipokuwa pamoja nanyi na kuhitaji sikumlemea mtu. Maana hao ndugu waliokuja kutoka Makedonia walinipa kadiri ya mahitaji yangu; nami katika mambo yote najilinda nafsi yangu nisiwalemee hata kidogo; tena najilinda.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:9 katika mazingira