2 Kor. 11:15 SUV

15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:15 katika mazingira