2 Kor. 11:16 SUV

16 Nasema tena, mtu asidhani ya kuwa mimi ni mpumbavu; lakini mjaponidhania hivi, mnikubali kama mpumbavu; ili mimi nami nipate kujisifu ngaa kidogo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:16 katika mazingira