2 Kor. 12:10 SUV

10 Kwa hiyo napendezwa na udhaifu, na ufidhuli, na misiba, na adha, na shida, kwa ajili ya Kristo. Maana niwapo dhaifu ndipo nilipo na nguvu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:10 katika mazingira