2 Kor. 12:11 SUV

11 Nimekuwa mpumbavu, ninyi mmenilazimisha. Maana ilinipasa nisifiwe na ninyi; kwa sababu sikuwa duni ya mitume walio wakuu kwa lo lote, nijapokuwa si kitu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:11 katika mazingira