6 Maana kama ningetaka kujisifu singekuwa mpumbavu, kwa sababu nitasema kweli. Lakini najizuia, ili mtu asinihesabie zaidi ya hayo ayaonayo kwangu au kuyasikia kwangu.
Kusoma sura kamili 2 Kor. 12
Mtazamo 2 Kor. 12:6 katika mazingira