2 Kor. 12:7 SUV

7 Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:7 katika mazingira